Chembeuzi X : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Chromosome X.svg|125px|thumb|right|Scheme of the X chromatid.]]
'''Chembeuzi X''' (pia: '''kromosomu X''', [[ing.]] ''X-chromosome'') ni moja katika [[jozi]] la [[chembeuzi za jinsia]] pamoja na [[chembeuzi Y]]. Ndizo zinazosababisha [[mtu]] kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]], na vilevile [[wanyama]] kuwa wa kiume au wa kike.