Chembeuzi X : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Chromosome X.svg|125px|thumb|right|Scheme of the X chromatid.]]
'''Chembeuzi X''' (pia: '''kromosomu X''', kwa [[ing.Kiingereza]] ''X-chromosome'') ni moja katika [[jozi]] la [[chembeuzi za jinsia]] za [[binadamu]] pamoja na [[chembeuzi Y]]. Ndizo zinazosababisha [[mtu]] kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]], na vilevile [[wanyama]] mbalimbali kuwa wa kiume au wa kike.
 
[[Baba]] tu ana chembeuzi hiyo (pamoja na ile ya Y) na hivyo anaweza kumrithisha mwanae, ambaye kwa njia hiyo atakuwa wa kike kwa kuwa [[mama]] ana jozi la chembeuzi X asiweze kurithisha chembeuzi Y inayomfanya mtoto kuwa wa kiume.