Mnururisho sumakuumeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|450x450px|Spektra ya mawimi sumakuumeme; nuru ni sehemu ya wawimbi haya '''Mnururisho sumakuumeme''' ni mnururisho...'
 
sahihisho + uga sumaku
Mstari 1:
[[File:Nuru katika spektra 1.jpg|thumb|450x450px|Spektra ya mawimi sumakuumeme; nuru ni sehemu ya wawimbi haya]]
'''Mnururisho sumakuumeme''' ni [[mnururisho]] wa [[mawimbi]] zinazounganisha uga za [[umemeuga sumaku]] na uga wa [[sumakuumeme]] na kubeba nishati. Mifano ya mawimbi sumakuumeme ni [[wimbiredio]], [[mikrowevu]], mawimbi ya [[joto]], mawimbi ya [[urujuanimno]], [[eksirei]], na [[nuru]] inayoonekana kwetu.
 
Tofauti na mawimbi ya mata kama [[wimbisauti]] zile za sumakumeme hazihitaji midia kwa uenezi wao. Zinaenea pia katika [[ombwe]] kwa [[kasi ya nuru]].