Afya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:NewZealand-Stamp-1933-Health.jpg|thumb|422x422px|<nowiki>Stempu ya posta ya [[New Zealand]], mnamo mwaka [[1933]]</nowiki>]]
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]] na ki[[roho]] bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
'''Afya''' ni hali ya kujisikia nzuri kimwili na kiroho bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]]. Sawa na swalisuala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.
 
=== Fafanuzi za afya ===
* [[Shirika la Afya Duniani]] (WHO) lilitoa ufafanuzi ufuatao: "Afya ni hali ya [[ustawi]] kamili kimwili, kiroho na kijamiiki[[jamii]] na zaidi ya kukosa ugonjwa." <ref><nowiki>http://www.who.int/bulletin/archives/80(12)981.pdf ''WHO definition of Health''</nowiki></ref>
 
* [[Mwanafalsafa]] [[Friedrich Nietzsche]] : "Afya ni [[kiwango hiki]] cha ugonjwa kinachoniruhusu kutekeleza [[shughuli]] zangu muhimu."
* Mwanasosholojia [[Talcott Parsons]]: „Afya ni hali ya mtu kuwa na uwezo bora wa kutekeleza shughuli alizofundishwa kukubali kama wajibu wake."
*
Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na maumivu na udhaifu pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba hisia hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.
 
* [[Mwanasosholojia]] [[Talcott Parsons]]: „Afya"Afya ni hali ya [[mtu]] kuwa na [[uwezo]] bora wa kutekeleza shughuli alizofundishwa kukubali kama [[wajibu]] wake."
=== Marejeo ===
 
<references />[[:Jamii:Afya]]
* Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na [[maumivu]] na [[udhaifu]], pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba [[hisia]] hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.
 
=== MarejeoTanbihi ===
<references />[[:Jamii:Afya]]
 
==Viungo vya Nje==
{{Wiktionary|Health}}
{{Wikiquote|Health}}
* [http://www.who.int World Health Organization]
* [http://www.nhs.uk UK National Health Service]
* [http://stats.oecd.org/Index.aspx?DataSetCode=HEALTH OECD Health Statistics]
* [http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/us/health.htm Health and Medical Information] from the University of Colorado
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Afya]]