Mao Zedong : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5816 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Mao Zedong''' (* [[26 Desemba]] [[1893]] / + [[9 Septemba]] [[1976]]) alikuwa kiongozi wa [[Chama cha kikomunisti cha China]] tangu [[1935]] hadi kifo chake na pia kiongozi mkuu wa [[China]] tangu [[1949]].
 
Aliongoza wakomunisti katika [[vita ya wenyewe kwa wenyewe ya China]] dhidi ya serikali ya [[Kuomintang]] na dhidi ya jeshi la [[Japan]] wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]].
Mstari 6:
Alijaribu kujenga ukomunisti nchini kwa kutegemea wakulima kuliko wanafayakazi jinsi ilivyokuwa itikadi ya kawaida ya Ukomunisti.
 
Siasa yake ya kiuchumi ilisababisha njaa na vifo vingi. Dhidi ya wapinzani wake ndani ya chama alianzisha tangu 1966 "[[mapinduzi ya kiutamaduniutamaduni]]" iliyoharibu mapokeo mengi na sehemu kubwa ya urithi wa kihistoria ya China. Kwa jumla ni watu milioni 35 hadi 70 wanaokadiriwa walikufa kutokana na njaa au mateso chini ya Mao.
 
[[Jamii:Watu wa Uchina]]