Mao Zedong : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mao Zedong''' (* [[26 Desemba]] [[1893]] / + [[9 Septemba]] [[1976]]) alikuwa [[kiongozi]] wa [[Chama cha kikomunisti cha China]] tangu [[1935]] hadi [[kifo]] chake na pia kiongozi mkuu wa [[China]] tangu [[1949]].
 
Aliongoza [[wakomunisti]] katika [[vita ya wenyewe kwa wenyewe ya China]] dhidi ya [[serikali]] ya [[Kuomintang]] na dhidi ya [[jeshi]] la [[Japan]] wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]].
 
Mao alibadilisha [[itikadi]] ya [[Umarx-Ulenin]] kwa mahitaji ya wakomunisti wa China. Mwelekeo wake huitwa "Umao".
Alijaribu kujenga ukomunisti nchini kwa kutegemea wakulima kuliko wanafayakazi jinsi ilivyokuwa itikadi ya kawaida ya Ukomunisti.
 
Alijaribu kujenga [[ukomunisti]] nchini kwa kutegemea [[wakulima]] kuliko [[wanafayakazi]] jinsi ilivyokuwa itikadi ya kawaida ya Ukomunisti.
Siasa yake ya kiuchumi ilisababisha njaa na vifo vingi. Dhidi ya wapinzani wake ndani ya chama alianzisha tangu 1966 "[[mapinduzi ya utamaduni]]" iliyoharibu mapokeo mengi na sehemu kubwa ya urithi wa kihistoria ya China. Kwa jumla ni watu milioni 35 hadi 70 wanaokadiriwa walikufa kutokana na njaa au mateso chini ya Mao.
 
[[Siasa]] yake ya ki[[uchumi]] ilisababisha [[njaa]] na vifo vingi. Kwa jumla ni watu milioni 35 hadi 70 wanaokadiriwa walikufa kutokana na njaa au mateso chini ya Mao.
[[Jamii:Watu wa Uchina]]
 
Siasa yake ya kiuchumi ilisababisha njaa na vifo vingi. Dhidi ya wapinzani wake ndani ya chama alianzisha tangu 1966 "[[mapinduzi ya utamaduni]]" iliyoharibu [[mapokeo]] mengi na sehemu kubwa ya [[urithi]] wa kihistoria ya China. Kwa jumla ni watu milioni 35 hadi 70 wanaokadiriwa walikufa kutokana na njaa au mateso chini ya Mao.
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
[[Jamii:Mao Zedong]]
[[Jamii:WatuWanasiasa wa Uchina]]
 
{{Link FA|id}}