Wimbiredio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wimbiredio''' ni sehemu ya [[mnururisho sumakuumeme]]. Ni mawimbi yenye [[lukoka]] baina ya sentimita 10 na kilomita 100; upeo wa [[marudio]] ni [[kilohezi]] kadhaa hadi [[gigahezi]] 3.
 
KamaSawa na mawimbi yote ya sumakuumeme zinatembea kwa [[kasi ya nuru]]. WImbiredio hutokea kiasili kutokana na radi, au mnururisho wa nyota. Tabia ya nyota kutoa mnururisho huu inatumiwa na [[astronomia]] kwenye vituo vya pekee ambako [[antena]] kubwa zinakusanya wimbiredio kutoka [[anga la ulimwengu]].
 
Jina "wimbiredio" latokana na matumizi kwa mitambo ya redio. Mnamo 1873 [[James Clerk Maxwell]] alionyesha kwa njia ya hisabati ya kwamba mawimbi sumakuumeme yanaweza kupita hewani. [[Heinrich Rudolf Hertz]] alifaulu mwaka 1888 kutengeneza mawimbi haya na kuyapokea. Hii ilikuwa chanzo cha upelekaji habari kwa njia ya wimbiredio.