Wimbiredio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kiungo
Mstari 1:
'''Wimbiredio''' ([[ing.]] ''radio wave'') ni sehemu ya [[mnururisho sumakuumeme]]. Ni mawimbi yenye [[lukoka]] baina ya sentimita 10 na kilomita 100; upeo wa [[marudio]] ni [[kilohezi]] kadhaa hadi [[gigahezi]] 3.
 
Sawa na mawimbi yote ya sumakuumeme zinatembea kwa [[kasi ya nuru]]. WImbiredio hutokea kiasili kutokana na radi, au mnururisho wa nyota. Tabia ya nyota kutoa mnururisho huu inatumiwa na [[astronomia]] kwenye vituo vya pekee ambako [[antena]] kubwa zinakusanya wimbiredio kutoka [[anga la ulimwengu]].