Tofauti kati ya marekesbisho "Urujuanimno"

17 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
+elezo fupi
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '450px|thumbnail|Urujuanimno upande wa lukoka fupi zaidi ya spektra inayoonekana '''Urujuanimno''' (ing. ''ult...')
 
(+elezo fupi)
[[Picha:Nuru inayoonekana katika spektra.jpg|450px|thumbnail|Urujuanimno upande wa lukoka fupi zaidi ya spektra inayoonekana]]
'''Urujuanimno''' ([[ing.]] ''ultraviolet'', kifupi '''UV''') ni aina ya [[nuru]] isiyoonekana kwa binadamu lakini kwa wanyama mbalimbali. Kwa lugha nyingine na makini zaidi ni sehemu ya [[mnururisho wa sumakuumeme]] mwenye [[lukoka]] (''wavelength'') baina ya [[nanomita]] 400 nm hadi 10 nm, ambayo ni lukoka fupi kuliko [[urujuani]] inayoonekana lakini ndefu zaidi kuliko [[eksirei]].
 
Wanyama wengi pamoja na wadudu kadhaa, mamba, ndege wengine wadogo wanaweza kutambua urujuanimno.