Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
 
Mwisho makabila jirani huamini kuwa huwezi kufika nyumbani kwa Mwanji ukaondoka bila [[chakula]] na pia kama ukienda na chakula chako basi, mtakila wote na wewe utakula chakula chao.
Mazao maarufu yanayostawishwa katika bonde hili ni kama; mahindi, ngano, maharagwe, njegere, viazi mviringo, na kwa kiasi kidogo mtama na ulezi. Lakini pia kuna pareto kama zao la biashara.
 
Mazao maarufu yanayostawishwa katika bonde hili ni kama;: [[mahindi]], [[ngano]], [[maharagwe]], [[njegere]], [[viazi mviringo]], na kwa kiasi kidogo [[mtama]] na [[ulezi]]. Lakini pia kuna [[pareto]] kama [[zao la biashara]].
==Ref==
 
==Tanbihi==
<references/>