Kibodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:QWERTY HPkeyboard.jpg|thumb|Baobonye ya kawaida kwa mfumo wa Marekani]]
'''Baobonye''' ('''keyboard''') ni [[kifaa]] muhimu kinachowemzeshakinachomwezesha mtu kuweka maandishi na [[namba]] kwa [[tarakishi]] (kompyuta).
 
Kwa tarakishi nyingi ni kifaa kikuu cha kuingiza habari mashineni[[mashine]]ni.
 
Kuna mifumo mbalimbali za baobonye kulingana na [[lugha]].
 
[[Muundo]] wa kawaida kwa lugha zinazotumia [[alfabeti ya Kilatini]] ni QWERTY (hizi ni [[herufi]] 6 za kwanza).
 
Muundo huu unaweza kuchosha mikono na vidole. Ulianzishwa zamani za mashine za kutaipu na mfumo wa herufi ulilenga kutovurugisha mikono ya [[taipu]]. Siku hizi hkunahakuna taipu tena lakini watu wlaizoewaliozoea muundo umebaki vile.
 
== Kurasa nyingine ==