Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 39:
 
==Huduma za Jiji==
huduma ya maji dares salaam, kumekuwa na tatizo kubwa katika kudhibiti mfumo wa maji taka katika mkona wa dar es salaam kwa muda mrefu. tangu shirika la maji dawasco (dar es salaam water supply company)lilipo wekwa rasmi kama shirika husika katika kuratibu utaratibu mzima wa mfumo wa maji safi na maji taka, kume kuwa na unafuu kidogo tu, lakini baada ya muda, liliibuka tatizo la kuibiwa kwa mabomba na uharibifu wa vyanzo mbalimbali vya maji.
 
== Picha za Dar es Salaam ==