Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 22:
|longd=39 |longm=17 |longs= |longEW=E|coordinates_display=d
}}
'''Dar es Salaam''' ni [[jiji]] kubwa kuliko yote nchini [[Tanzania]]. Pia ni jina la [[Mkoa wa Dar es Salaam]].
Ni [[mji mkuu]] wa Mji una wakazi wapatao 4,364,541 kwa [[hesabu]] ya [[sensa]] iliyofanyika katika mwaka wa 2012.<ref>[http://www.nbs.go.tz/sensa/popu1.php Ripoti ya Sensa 2012]</ref> == Historia ==
{{main|Historia
Jiji hili zamani liliitwa [[Mzizima]]. [[Sultani]] [[Seyyid Majid]] wa [[Zanzibar]] ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotokana na lugha ya [[Kiarabu]] '''دار السلام''' (''Dār as-Salām'') lenye kumaanisha "nyumba ya amani." Maelezo yanayopatikana mara nyingi kuwa maana ni "bandari ya salama" yachanganya maneno mawili yanayofanana katika Kiarabu yaani "dar" (=nyumba) na "bandar" (=bandari).
Line 39 ⟶ 43:
==Huduma za Jiji==
== Picha za Dar es Salaam ==
<gallery>
Image:Dar Ikulu-tz.jpg|'''Ikulu''' - Nyumba ya Rais huko Dar-Es-Salaam
Image:DarEsSalaam-SamoraMachelAvenue.jpg|Samora Machel Avenue
Image:DarEsSalaam-Skyline.jpg|Feri ya kuvuka Kigamboni, nyumba za jiji zaonekana ng'ambo ya bandari asilia
Image:Dar Askari.jpg|Sanamu ya "Askari" kwa ajili ya maaskari Waafrika walioshiriki vita kuu ya kwanza upande wa Waingereza
Line 54 ⟶ 58:
==Marejeo==
{{marejeo}}
== Viungo vya nje ==
{{commons cat|Dar es Salaam}}
|