Murasaki Shikibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32:
| uzito =
}}
'''Murasaki Shikibu''' ([[978]] – [[1025]]) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya [[Ujapani]]. Anajulikana hasa kwa riwaya yake ''[[Genji Monogatari]]'' (hadithi ya Genji) iliyotolewa 1008. Murasaki Shikibu amezaliwa kwa nchini [[Kyoto]] tarehe 978. Baba wake, [[Fujiwara no Tametoki]], mshairi.
 
== Viungo vya nje ==