Mita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ meta
Mstari 1:
'''Mita''' (pia: '''meta''') ni kipimo cha urefu kimekuwa [[kipimo sanifu cha kimataifa]]. Neno limetokana na [[Kigiriki]] μέτρον/métron = kipimo, pia chombo cha kupimia, halafu kupitia [[Kiingereza]] "meter, metre".
Neno limetokana na Kigiriki μέτρον/métron = kipimo, pia chombo cha kupimia.
 
Kutokana na maana hiyo "mita" inataja pia mitambo ya kupima maji, umeme na kadhalika. Hapo matumizi ya Kiswahili kinafanana na Kiingereza "meter".