Mita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ meta
Mstari 115:
=== Vipimo vya kawaida: ===
 
[[Kilomita]] (km) : Kilomita moja ni mita 1000
 
Dekamita(deca): Dekamita moja ni mita 100
 
[[Sentimita]] (cm): Sentimita ni sehemu ya mia ya mita; mita ina sentimita 100.
 
[[Millimita]] (mm): Millimita ni sehemu ya kumi ya sentimita moja; sentimita ina millimita kumi, mita ina millimita elfu moja.
 
[[Jamii:Vipimo vya urefu]]