Mchezo wa ng'ombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
Historia ya desturi hii inarudi nyuma hadi zamani za [[Dola la Roma]] watu walipopenda kuwa na maonyesho ya mapambano ya wanyama pori, ama ya wenyewe kwa wenyewe au zaidi ya watu dhidi ya wanyama hawa. Maonyesho haya yalifanyika katika uwanja wa mji kwa mfano uwanja wa [[Koloseo]] huko [[Roma]]. Desturi hii imepotea kila sehemu ya eneo la kale la Dola la Roma kwa sababu ilipingwa na kanisa la kikristo isipokuwa [[Hispania]] na [[Ureno]]. Ilhali Wahispania wanaua ngombe wa dume Wareno wanawachezea tu hadi kuwaangusha chini bila kuwaua. Wahispania walipeleka mchezo hadi [[Amerika ya Kusini]] kama vile [[Mexiko]]. Kwa Kihispania wale wanoshindana uwanjani na ng'ombe dume wanaitwa "torero"; mkuu wao atakayemwua kwa pigo la upanga wake ni "matador".
 
Kwa Kihispania wale wanoshindana uwanjani na ng'ombe dume wanaitwa "torero"; mkuu wao atakayemwua kwa pigo la upanga wake ni "matador".
 
==Mchezo wa ng'ombe Pemba kisiwani==