Tofauti kati ya marekesbisho "Kigamboni"

211 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
[[Picha:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|200px|Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam]]
[[Image:DarEsSalaam-KigamboniBeach.jpg|thumb|200px|Mapumziko Kigamboni ufukoni]]
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya]] ya [[Temeke]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ina wakazi wapatao 30,496 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf kataWilaya ya kigamboni.Temeke - Mkoa wa Dar es Salaam</ref>
 
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]]. Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari lakini njia hii ni mbalindefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]].
 
Kiasili sehemu hii ilikuwa [[kijiji]] cha wavuwi[[wavuvi]] lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga [[nyumba]] na [[hoteli]] za kitalii zimeenea kwenye [[ufuko]] wa Bahari Hindi.
 
==Marejeo==
 
{{Kata za Wilaya ya Temeke}}
 
{{mbegu-jio-TZ}}