Mshtarii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Portrait of Jupiter from Cassini.jpg|thumb|250px|right|Picha ya Mshtarii iliyopigwa na [[chombo cha angani]] [[Cassini]]]]
'''Mshtarii''' (pia '''Mshiteri''' au '''Mshatira'''<ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina ya asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> , kutokana na [[Kiarabu]] "المشتري" al-mshtari; pia '''Sumbula''', na hata '''Jupita'''; kutokana na [[Kiing.Kiingereza]] '''Jupiter''') ni [[sayari]] ya tano toka kwenye [[jua]] katika [[Mfumo wa jua]] na sayari zake.
 
[[Picha:Jupiter Earth Comparison.png|thumb|left|Ulinganishi wa ukubwa wa [[Dunia]] yetu (kushoto) na Mshtarii pamoja na "doa nyekundujekundu" inayozunguka katika [[angahewa]] ya Mshtarii]]
Mshtarii ni sayari kubwa kabisa ya jua letu. Mada[[Maada]] yake inazidi mara mbili na nusu madamaada ya sayari zote nyingine pamoja.
 
== Angahewa ==
[[Uso]] wa sayari haionekanihauonekani kwa sababu [[angahewa]] nzito inafunika kila sehemu. MadaMaada ya angahewa ni hasa [[hidrojeni]] na [[heli]]. Kutokana na uzito wa angahewa [[shindikizo]] ndani yake inaongezeka sana katika vilindi vyake na kusababisha [[gesi]] za angahewa kuingia katika hali ya [[giligili]] (majimaji) inayobadilika kuwa [[mango]] (imara) ndani zaidi. Zamani iliaminika ya kwamba sayari yenyewe ni ya gesi iliyoganda lakini siku hizi wataalamu wa [[astronomia]] huamini ya kwamba kuna kiini cha [[mwamba]] au [[metali]].
 
Doa nyekundujekundu inayoonekanalinaloonekana usoni wamwa angahewa ni [[dhoruba]] ya [[tufani]] kubwa sana iliyotazamiwailiyotazamwa mara ya kwanza miaka 300 iliyopita wakati [[darubini]] za kwanza zilipopatikana. Duniani tufani zinapotea kwa kawaida baada ya [[wiki]] kadhaa lakini doa nyekundujekundu imeendelealimeendelea bila kusimama.
 
== Miezi ==
Mshtarii ina miezi 63 zilizotambuliwa hadi mwaka [[2005]]. Ukubwa wa [[Io]] unakaribia [[kipenyo]] cha [[Utaridi]] ukipita kile cha [[Pluto]]. Mwezi mdogo kabisa wa Mshtarii unajulikana kwa namba tu na una kipenyo cha 1 [[km]] 1.
 
Miezi minne mikubwa ilitambuliwa mwaka [[1610]] na [[Galileo Galilei]] aliyekuwa kati ya wanaastronomia wa kwanza waliotumia darubini. Ndiyo [[Io]], [[Europa]], [[Ganymedi]] na [[Kallisto]].
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-sayansi}}
Line 19 ⟶ 22:
 
[[Jamii:Sayari]]
 
{{Link FA|ar}}
{{Link FA|en}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|fr}}
{{Link FA|ml}}
{{Link FA|pt}}
{{Link FA|ru}}
{{Link FA|simple}}
{{Link FA|sl}}
{{Link FA|yo}}