Waindio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 79 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q36747 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Sra. Charo and the Qewar dollmakers.jpg|250px|Thumb|right|[[Wanawake]] wa [[kabila]] la [[Quechua]] katika [[wilaya]] ya [[Andahuaylillas]], [[Peru]], [[2007]].]]
'''Waindio''' au '''Wahindi wekundu''' ni watu wanaotokana moja kwa moja na waliokuwa wenyeji wa [[Amerika]] kabla ya [[bara]] hilo kufikiwa na [[Christopher Columbus]] kutoka [[Ulaya]] ([[1492]]).
 
==Asili==
Wanakadiriwa kuwa milioni 48, wengi wao wakiishi [[Peru]], [[Meksiko]], [[Bolivia]] na [[Guatemala]].
[[File:Spreading homo sapiens la.svg|thumb|250px|[[Ramani]] ya [[uenezi]] wa binadamu [[dunia]]ni<ref>Göran Burenhult: Die ersten Menschen, Weltbild Verlag, 2000. ISBN 3-8289-0741-5</ref>]]
[[Utafiti]] uliofanywa kwa muda mrefu na kwa njia mbalimbali umekadiria kwamba ma[[babu]] wao walioenea katika Amerika yote wakitokea [[Asia]] kaskazini mashariki miaka [[14,500 BK]].
 
Inadhaniwa kwamba hao mababu waliishi muda mrefu na kuzaliana bila [[mawasiliano]] na [[binadamu]] wengine, labda katika eneo ambalo leo limefunikwa na [[maji]] kwenye [[mlangobahari wa Bering]]. Inakadiriwa [[DNA]] yao ilitokana na ile ya Waasia mashariki (2/3) na Waeurasia (1/3).
Hesabu hii haijumlishi ma[[chotara]].
 
Baada ya kuingia bara hilo, ambalo ni la mwisho kukaliwa na watu (tukiacha [[Antaktiki]]), kwa [[karne]] chache walienea hadi kusini kabisa, kwenye [[Chile]] na [[Argentina]] ya leo. Katika kusambaa kwao, [[lugha]] na [[utamaduni]] vilizidi kutofautiana.
{{mbegu}}
 
==Hali ya sasa==
WanakadiriwaIdadi yao inaweza kuwa [[milioni]] 4860, wengi wao wakiishi [[PeruMeksiko]], [[MeksikoPeru]], [[Bolivia]] na [[Guatemala]].
 
[[Hesabu]] hii haijumlishi ma[[chotara]].
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Amerika]]
 
{{Link GA|eo}}
{{Link FA|hr}}
 
[[id:Suku Indian]]