Muhammadu Buhari : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
picha mbadala |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Muhammadu Buhari at Chatham House.jpg|thumb|Buhari]]
'''Muhammadu Buhari''' (amezaliwa tar. [[17 Desemba]] [[1942]]) alikuwa kiongozi wa kijeshi
Katika kura za uchaguzi za miaka [[2003]], 2007 na 2011 aligombea urais bila kufaulu. alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa kitaifa wa mwaka huo, lakini hakuibuka kuwa mshindi. Alirudia kugombea katika kura ya mwaka 2015 aliposhinda dhidi ya rais [[Goodluck Jonathan]] kwa asilimia 54 za kura zote.<ref>[http://www.theguardian.com/world/2015/mar/31/opposition-candidate-muhammadu-buhari-wins-nigerian-election Muhammadu Buhari sweeps to victory (Guardian UK 31 Machi 2015)]</ref>
Muhammadu Buhari alitanguliwa na [[Shehu Shagari]] kisha akafuatiwa na [[Ibrahim Babangida]].▼
▲Muhammadu Buhari katika awamu la kwanza la urais alitanguliwa na [[Shehu Shagari]] kisha akafuatiwa na [[Ibrahim Babangida]].
==Marejeo==
<references/>
==Viungo vya Nje==
|