Ukomunisti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: arz:شيوعيه is a featured article; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hammer sickle clean.png|thumb|150px|right|[[Nyundo]] na [[Mundu]], ni [[alama]] ya ukomunisti, nguvu ya wafanyakazi.]]
'''Ukomunisti''' ni njia ya ki[[siasa]] ya kufikiri na [[dhana]] ya jinsi gani [[jamii]] inapaswa kufanya [[kazi]] na kupanga mambo yake.
 
Ukomunisti ni aina ya [[ushoshalisti]] ambao unasema haipaswi kuwa na tofauti za ma[[tabaka]] katika jamii.
'''Ukomunisti''' ni njia ya kisiasa ya kufikiri na dhana ya jinsi gani jamii inapaswa kufanya kazi na kupanga mambo yake. Ukoministi ni aina ya ushoshalisti ambao unasema kwamba haipaswi kuwa na hali ya utofauti wa madaraja katikia jamii. Ukomunisti unasema kwamba watu wa kila sehemu ya dunia wanapaswa kumiliki zana, viwanda, na mashamba ambayo yanatumiwa kuzalishia bidhaa na vyakula. Mchakato huu wa kijamii hujulikana kama umiliki wa kawaida. Katika jumuia ya wa wakomunisti, hakuna mali binafsi.
 
'''Ukomunisti''' ni njia ya kisiasa ya kufikiri na dhana ya jinsi gani jamii inapaswa kufanya kazi na kupanga mambo yake. Ukoministi ni aina ya ushoshalisti ambao unasema kwamba haipaswi kuwa na hali ya utofauti wa madaraja katikia jamii. Ukomunisti unasema kwamba watu wa kila sehemu ya [[dunia]] wanapaswa kumiliki [[zana]], [[viwanda]], na mashambama[[shamba]] ambayo yanatumiwa kuzalishia [[bidhaa]] na vyakula. [[Mchakato]] huu wa kijamii hujulikana kama umiliki wa kawaida. Katika jumuia ya wa wakomunisti, hakuna [[mali]] binafsi.
 
== Falsafa ==
[[Picha:Communist-manifesto.png|thumb|130px|right|[[Ilani]] ya Kikomunisti]] Kwa mujibu wa waandishi na wafikiri wa Ukomunisti, lengo la Ukomunisti ni kwa ajili ya [[wafanyakazi]] kuchukua [[udhibiti]] wa viwanda na [[biashara]] na kusimamia [[uchumi]] kidemokrasiaki[[demokrasia]].
 
Baada ya wafanyakazi wa [[serikali]] kuimarisha [[maslahi]] yao wangeweza polepole kuleta zana zote za [[uzalishaji]] chini ya udhibiti wao, mpaka hapo [[mfumo]] wa bila matabaka na hali ya kutokuwa na serikali katika jamii imeumbwa.
 
Hili ni wazo la kizamani, lakini limeanza kuwa maarufu baada ya [[Mapinduzi ya Ufaransa]] na [[harakati]] zinginenyingine maarufu za huko [[Ulaya]] mwanzoni mwa [[miaka ya 1800]].
 
Pamoja na [[hoja]] laya kufikia hali ya [[usawa]] bila [[utawala]] kati ya [[wanadamu]] wanaitikadi wa ukomunsti waliona ni lazima kuwa na kipindi cha [[udikteta]] ambako wakomunisti wanashika utawala na kukandamiza [[upinzani]] dhidi ya mabadiliko waliyoona ya lazima kufikia [[shabaha]] yao.
 
[[Vladimir Lenin]] alipanushaalipanua [[nadharia]] ya ukomunisti akidai lazima kuwa na [[chama cha kikomunisti]] kinachopanga [[mapinduzi]] na kushika utawala katika kipindi alichoita "[[udikteta wa wafanyakazi]]".
 
== Siasa ==
 
== Historia ==
 
== Migogoro ==
 
== Ishara na utamaduni ==
 
[[Jamii:Ukomunisti]]
[[Jamii:Siasa]]
 
{{Link FA|arz}}
{{Link FA|cs}}
{{Link FA|yi}}