Masafa ya mawimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala moved page Lukoka to Urefu wa wimbi over redirect
urefu wa mawimbi badala ya lukoka
Mstari 1:
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili]]
'''Lukoka''' au '''urefuUrefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'', pia '''lukoka'''<ref>pendekezo la [[Kast]], 1995 lisilotumiwa sana</ref>) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.
 
Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:
Mstari 8:
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]
 
Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. LukokaMawimbi ndefu inayowezayanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya [[besi]] yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua lukokamawimbi yenye urefu kati ya milimita 17 hadi mita 21.
 
Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
Mstari 16:
*urefu wa mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].
 
==LukokaUrefu wa wimbi na marudio==
LukokaUrefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, lukokaurefu yakewake ni ndogomdogo. Vilevile kinyume kama lukokawimbi inalina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.