Tofauti kati ya marekesbisho "Masafa ya mawimbi"

10 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili]]
'''Urefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'', pia '''lukoka'''<ref>Lukoka ni pendekezo la [[KastKAST]], 1995 lisilotumiwa sana</ref>) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.
 
Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano: