Zuhura : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha: Sunset at Grain Elevator 012 Cropped more.jpg|thumb|Night Sky|400px|right|Zuhura ikionekana kama [[nyota]] ya kwanza wakati wa [[jioni]] kando
'''Zuhura''' (pia: '''Ng'andu'''; kwa [[
== Jina la sayari ==
Sayari hii ina
Ng'andu ni jina lenye asili ya [[Kibantu]].
== Tabia za sayari ==
Kwenye [[anga]]
Zuhura ina [[umbali]] wa kati ya [[kilomita]] [[milioni]] 107.5-108.9 kutoka jua. Umbali kutoka dunia yetu hutegemea na mahali pa dunia na Zuhura kwenye mizingo yao ya kuzunguka jua: uko kati ya kilomita milioni 38.3-260.9.
Ukubwa wake na pia kemia yake zinafanana sana na dunia ikiwa kipenya yake ni 12,103.6 km kwenye ikweta.▼
▲[[Ukubwa]] wake na pia [[kemia]] yake zinafanana sana na dunia ikiwa
Hakuna [[mwezi]]. ▼
[[Mwaka]] wa Zuhura (ambao ni muda wa kutimiza mzingo mmoja wa kuzunguka dunia) una siku 224.7 za kidunia. ▼
[[Siku]] ya Zuhura (ambayo ni muda wa dura moja ya sayari yenyewe) ina siku 243 za kidunia. Zuhura ni sayari yenye mzunguko kufuatana na mwendo wa saa.▼
▲[[Mwaka]] wa Zuhura (ambao ni muda wa kutimiza [[mzingo]] mmoja wa kuzunguka dunia) una siku 224.7 za kidunia.
Hali ya hewa ni ya joto sana kwa wastani sentigredi 500. Hewa yake ni hasa ya kabonidaioksaidi inayosababisha mawingu mengi yanayozuia sura yake isionekane kwa darubini. Kutokana na halijoto kali hakuna maji.▼
▲[[Siku]] ya Zuhura (ambayo ni muda wa [[duru|dura]] moja ya sayari yenyewe) ina siku 243 za kidunia
Zuhura ni sayari yenye mzunguko kufuatana na mwendo wa saa.
▲[[Hali ya hewa]] ni ya [[joto]] sana, kwa wastani [[sentigredi]] 500. [[Hewa]] yake ni hasa ya [[kabonidaioksaidi]] inayosababisha
== Utafiti ==
[[Warusi]] na [[
{{mbegu-sayansi}}
{{mfumo wa jua na sayari zake}}
[[Jamii:Sayari]]
|