Tofauti kati ya marekesbisho "Masafa ya mawimbi"

87 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyeshainaonyesha umbali kati ya vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.]]
'''Urefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'', pia '''lukoka'''<ref>Lukoka ni [[pendekezo]] la [[KAST]], [[1995]] lisilotumiwalisilotumika sana</ref>; kwa [[Kiingereza]] ''wavelength'') ni namna ya kupima na kutaja [[ukubwa]] wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.
 
Ni [[umbali]] kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya [[kilele]] na kilele au ma[[bonde]] yao.
Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:
 
*mawimbi ya maji
Mawimbi yapo kila sehemu ya [[mazingira]] asilia , kwa mfano:
*[[wimbisauti]]
*mawimbi ya [[maji]]
*ma[[wimbisauti]]
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]
 
Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi ndefumarefu yanayoweza kutambuliwa na [[milango ya fahamu]] ya [[binadamu]] ni [[sauti]] ya [[besi]] yenye lukoka ya [[mita]] 21. [[Sikio]] letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya [[milimita]] 17 hadi mita 21.
 
Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
*Urefu wa wimbiredio ni kati ya [[milimita]] 1 hadi [[kilomita]] 100.
*nuru inayoonekana kwa [[macho]] yetu ina lukoka kati ya [[nanomita]] 380 ([[urujuani]]) hadohadi 780 ([[nyekundu]]). [[Nyuki]] huona pia [[mnururisho]] mfupi zaidi yaani [[urujuanimno]], lakini hawaoni nyekundu.
*[[eksirei]] zina lukoka baina ya nanomita 0.01 hadi 10nm10.
*urefu wa mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].
 
==Urefu wa wimbi na marudio==
Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni ya juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume, kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogomadogo.
 
==Marejeo==
*[http://www.magnetkern.de/spektrum.html The visible electromagnetic spectrum displayed in web colors with according wavelengths]
 
[[jamiiJamii:fizikiaFizikia]]