Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q21196 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
"Pasaka" Ni Jina La Sikukuu Ya Kikristo, Linalotokana Na Lugha Ya Kiebrania. Ambapo Mara Nyingi Sikukuu Hii Hutokea Mwez Wa 3 Mwishon Hadi Wa 4. Pasaka Ina Siku Kuu 3, Ambazo Zinaanzia Ijumaa Mpaka Jumapili, Ambapo Anateswa Anateswa Ijumaa Na Anakufa Saa Kenda( 9 ) Mchana, Jumamosi Ndipo Wakristo Tunasema Anaenda Kuzimu Kuchukua Funguo Kwa Ibilisi, Na Jumapili Asubuhi Saana Anafufuka Na Kutoka Kaburini Ndipo Wakristo Tunafurahi Kwa Kufufuka Masiha Bwana Wetu Nayo Ndio Sikukuu Ya Pasaka.
[[Picha:GrunewaldR.jpg|thumb|200px|]]
Hadithi Ni Ndefu Saaana Kama Unataka Kujua Zaidi Soma Biblia Kitabu Cha Mathayo Chote AMINA: By Frank Z Leonard
[[Picha:Mwaka wa kanisa.jpg|300px|thumb|Mwaka wa Kanisa kadiri ya [[kalenda ya liturujia]] ya [[Roma]] kama kielelezo cha kawaida kwa Wakristo wa magharibi.]]
{{Mwaka wa liturujia}}
[[Picha:Easter eggs - straw decoration.jpg|thumb|right]]
 
'''Pasaka''' ni jina la [[sikukuu]] muhimu katika dini za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]]. Jina la Pasaka limetokana na neno la [[Kiebrania]] "פסח" (tamka: pasakh).
 
* '''[[Pasaka ya Kiyahudi]]''' ni sikukuu ya kumbukumbu kwa kutoka kwa [[Wanaisraeli]] kutoka [[Misri]] wakati wa [[Musa]] mnamo miaka 1200 [[KK]].
 
* '''[[Pasaka ya Kikristo]]''' ni sikukuu ya kukumbuka kufufuka kwake [[Yesu Kristo]] siku ya tatu baada ya kusulibiwa kwake. Inahesabiwa kuwa sikukuu muhimu kabisa katika Ukristo.
 
Taarifa za [[Agano Jipya]] zinatoa habari ya kuwa kifo na kufufuka kwa Yesu yametokea wakati wa sikukuu ya Pasaka ya Kiyahudi. Kwa hiyo jina la sikukuu hiyo imeendelea kutumikwa kwa ajili ya sherehe ya kikristo.
 
==Tarehe ya Pasaka==
Pasaka ni sikukuu inayobadilika tarehe yake katika [[kalenda]] ya kawaida kila mwaka.
 
Pasaka ya Kiyahudi inafuata kalenda ya Kiyahudi ni tarehe 15 Nisan ambayo ni siku baada ya mwezi mpevu wa kwanza baada ya [[sikusare]] ya machipuko (mnamo 21 Machi).
 
Pasaka ya Kikristo inaunganisha siku ya Jumapili (ni jumapili kila mwaka kwa sababu hii ni siku ya ufufuo katika mapokeo ya kikristo) pamoja na kumbukumbu ya pasaka ya Kiyahudi. Tangu [[mtaguso wa Nikea]] Wakristo walipatana kusheherekea Pasaka kwenye [[jumapili]] ya kwanza baada ya [[mwezi mpevu]] unaotokea baada ya [[sikusare]] ya 21 Machi. Kwa hiyo Pasaka inaweza kutokea kati ya 22 Machi hadi 25 Aprili.
 
Tangu masahihisho ya [[kalenda ya Juliasi]] na kuanzishwa kwa [[kalenda ya Gregori]] mara nyingi kuna tofauti kati ya Pasaka ya kimagharibi (kanisa katoliki na makanisa ya kiprotestanti) na Pasaka ya Kimashariki ya makanisa ya Kiorthodoksi kwa sababu [[Waorthodoksi]] wanaendelea kutumia kalenda ya Juliasi kwa ajili ya kukadiria sikukuu zao.
 
== Majina ya Pasaka ya Kiyahudi na Pasaka ya Kikristo katika lugha mbalimbali ==
Katika lugha nyingi asili hii bado inaonekana ingawa mara nyingi umbo la neno ni tofauti kidogo. Jina la sikukuu ya Kiyahudi linapatikana kwa umbo mbalimbali. Siku hizi mara nyingi umbo la neno la Kiebrania limetumika lakini desturi katika lugha hizo inaonyesha pia umbo linalofanana zaidi na neno kwa ajili ya sherehe ya Kikristo.
 
{| {{jedwalimaridadi}}
|-
!Lugha
!Jina la Pasaka ya Kiyahudi
!Jina la Pasaka ya Kikristo
|-
| '''[[Kifaransa]]'''
| Pessah
| Paque; Les Paques
|-
| '''[[Kihispania]]'''
| pascua
| pascua
|-
| '''[[Kiitalia]]'''
| Pasqua ebraica; Pesach; Pesah
| Pasqua
|-
| '''[[Kipoland]]'''
| Pesach
| Wielkanoc; Pascha
|-
|'''[[Kirusi]]'''
| Пасха; Песах (pas-kha; pesakh)
| Пасха (pas-kha)
|-
| '''[[Kigiriki]]'''
| Πάσχα (pas-kha)
| Πάσχα (pas-kha)
|-
| '''[[Kidenmark]]'''
| Pesach
| Påske
|-
| '''[[Kinorwei]]'''
| Pesah
| Påske
|-
| '''[[Kiswidi]]'''
| Pesach;Påsk
| Påsk
|-
|'''[[Kiholanzi]]'''
|Pesach
|Pasen
|-
| '''[[Kijerumani]]'''
| Passah
| Ostern
|-
| '''[[Kiingereza]]'''
| Passover
| Easter
|-
|'''[[Kiajemi]]'''
| پسح
|
پاک
|-
|}
 
==Viungo vya nje==
===Liturujia===
* [http://www.catholicexpert.com/easterprayer.htm 50 Catholic Prayers for Easter]
* [http://www.liturgies.net/Easter/Easter.htm Liturgical Resources for Easter]
* [http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=27 Holy Pascha: the Resurrection of Our Lord] (Orthodox [[icon]] and [[synaxarion]])
 
===Desturi===
* [http://www.greekorthodox.org.au/general/livinganorthodoxlife/liturgicalmeaningofholyweek/saturdayoflazarus Liturgical Meaning of Holy Week (Greek Orthodox Archdiocese of Australia)]
* [http://www.armenianchurch.net/worship/easter/index.html Easter in the Armenian Orthodox Church]
* [http://www.newadvent.org/cathen/05224d.htm Roman Catholic view of Easter] (from the [[Catholic Encyclopedia]])
* [http://www.itsasmallworld.co.nz/index.php?page=seasonal-traditions Easter traditions from around the world]
* [http://www.belarus.by/en/press-center/photo/believers-consecrate-eater-repast_ti_72_0000000326.html Easter in Belarus: in pictures] on the [http://www.belarus.by/en/ official website of the Republic of Belarus]
 
===Hesabu===
* [http://www.staff.science.uu.nl/~gent0113/easter/eastercalculator.htm A Perpetual Easter and Passover Calculator] Julian and Gregorian Easter for any year plus other info
* [http://www.ely.anglican.org/cgi-bin/easter Almanac – The Christian Year] Julian or Gregorian Easter and associated festivals for any year
* [http://www.assa.org.au/edm.html Easter Dating Method] for calculator
* [http://www.usno.navy.mil/USNO/astronomical-applications/data-services/easter-calc/ Dates for Easter 1583 – 9999]
* [http://www.noeticspace.com/paschalion Orthodox Paschal Calculator] Julian Easter and associated festivals in Gregorian calendar 1583–4099
* [http://fotios.org/node/1104 About the Greek Easter and Greek Easter calculator] Orthodox Paschal calculator with technical discussion and full source code in javascript
 
{{commonscat|Easter}}
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Sikukuu za Uyahudi]]
[[Jamii:Sikukuu za Ukristo]]
[[Jamii:Kalenda]]
[[Jamii:Liturujia]]
 
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|id}}
{{Link FA|li}}
{{Link FA|mk}}
{{Link FA|uk}}