Mtaguso wa kwanza wa Nisea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 941303 lililoandikwa na 84.73.68.136 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 12:
Basi, mtaguso ulikiri karibu kwa kauli moja kwamba [[Yesu Kristo]] ni [[Mwana wa Mungu]] kwa maana ana ''[[ousìa]]'' (yaani ''[[dhati]]'') ileile ya Kimungu aliyonayo [[Baba]]. Ndiyo kiini cha [[Kanuni ya imani ya Nisea]] iliyopitishwa na mtaguso.
 
Uamuzi mwingine wa mtaguso ulikuwa kupanga siku ya [[Pasaka]], sherehe kuu ya Kanisa, iwe [[Jumapili]] inayofuata [[mbalamwezi]] ya kwanza ya [[majira ya [[Springikuchipua]], tofauti na [[kalenda ya Kiyahudi]]. Pia zilitungwa kanuni 20 kuratibu mambo mbalimbali.
 
Mtaguso ulipomalizika tarehe [[25 Julai]] [[325]], Konstantino alifikiri uamuzi juu ya [[dogma]] utamaliza mabishano, lakini haikuwa hivyo, kwa sababu Wagiriki wengi, ingawa hawakukubaliana na Arios, hawakuridhika na msamiati uliotumika kuelezea uhusiano wa Baba na Mwana.
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/01_10_0325-0325-_Concilium_Nicaenum_I.html Hati zote za mtaguso katika lugha mbalimbali]
* [[Atanasi wa Aleksandria]], ''[http://ccel.org/fathers2/NPNF2-04/Npnf2-04-33.htm#P3180_1245193 Utetezi wa Tamko la Nisea]''; ''[http://ccel.org/fathers2/NPNF2-04/Npnf2-04-68.htm#P7813_3132319 • Atanasi wa Aleksandria, Barua ya Sinodi kwa watu wa Afrika]''
Line 23 ⟶ 22:
* [[Eustazio wa Antiokia]], ''[http://ccel.org/fathers2/NPNF2-03/Npnf2-03-10.htm#P944_169833 Barua iliyorekodiwa katika Historia ya Kanisa iliyoandikwa na Theodoreto 1.7]''
* [http://www.newadvent.org/cathen/11044a.htm Mtaguso wa kwanza wa Nisea katika [[Catholic Encyclopedia]]]
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Mitaguso]]