Majira ya baridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Tallinn, mji mkuu wa Estonia, ulivyofunikwa na theluji tarehe 1 Januari 2010.]] File:PN Tierra del F...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Tallinn cityview.jpg|thumb|[[Tallinn]], [[mji mkuu]] wa [[Estonia]], ulivyofunikwa na [[theluji]] tarehe [[1 Januari]] [[2010]].]]
[[File:PN Tierra del Fuego (Hiver).jpg|thumb|Theluji kusini mwa dunia: [[Tierra del Fuego]], [[Argentina]] .]]
'''Majira ya baridi''' (kwa [[Kiingereza]] '''Winter''') ni mojawapo kati ya majira manne, na [[halijoto]] yake ni ya baridi kuliko majira mengine.
 
Pengine baridi inakuwa kali kweli na kuendana na [[barafuto]]: ndiyo maana maeneo mengine hayana wakazi wa kudumu, hasa [[Antaktiki]].
Inafuata [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "Fall" au "Autumn") na kutangulia [[majira ya kuchipuka]] (kwa Kiingereza "Spring").
 
Inafuata [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "Fall" au "Autumn") na kutangulia [[majira ya kuchipukakuchipua]] (kwa Kiingereza "Spring").
 
Majira hayo yanatokea duniani kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo [[kaskazini]] au [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Hata katika nchi ileile, kwa mfano [[Kenya]], majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.