Majira ya baridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Pengine baridi inakuwa kali kweli na kuendana na [[barafuto]]: ndiyo maana maeneo mengine hayana wakazi wa kudumu, hasa [[Antaktiki]].
 
InafuataYanafuata [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "Fall" au "Autumn") na kutangulia [[majira ya kuchipua]] (kwa Kiingereza "Spring").
 
Majira hayo yanatokea duniani kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo [[kaskazini]] au [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Hata katika nchi ileile, kwa mfano [[Kenya]], majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.