Majira ya kupukutika majani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|[[Uzuri wa majani kupuputika katika Green Mountain National Forest.]] '''Majira ya kupuputika m...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Pamoja na hayo, miti mingi inaweza ikapotewa na majani yote: ndiyo asili ya jina la majira.
 
InafuataYanafuata [[majira ya joto]] (kwa Kiingereza "Summer") na kutangulia [[majira ya baridi]] (kwa Kiingereza "Winter").
 
Majira hayo yanatokea duniani kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo [[kaskazini]] au [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Hata katika nchi ileile, kwa mfano [[Kenya]], majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.