Charles Huggins : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Charles Brenton Huggins''' (22 Septemba, 190112 Januari, 1997) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchung...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:12, 28 Novemba 2007

Charles Brenton Huggins (22 Septemba, 190112 Januari, 1997) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza uhusiano kati ya homoni na kensa. Mwaka wa 1966, pamoja na Peyton Rous alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.