Nubia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ramses II charging Nubians.jpg|thumbnail|Farao [[Ramses II]] akipigana na Wanubia ([[mchoro]] wa mwaka [[100]] BK hivi).]]
[[Picha:Christian Nubia.png|thumbnail|Falme za Kikristo katika Nubia kabla ya Uvamizi wa Waarabu.]]
'''Nubia''' (kutokana na jina la wakazi, kwa [[Kiarabu]] نوبة ''nuba'' / ''noba'') ni eneo lilipo kando ya mto [[Naili]] katika [[Misri]] ([[kusini]] kwa [[mji]] wa [[Aswan]]) na [[Sudan]] ([[kaskazini]] kwa [[KarthoumKhartoum]]). Zamani ilijulikana kwa jina la [[Kushi]] na hata [[Ethiopia]].
 
Katika [[historia]] ilikuwa mahali pa [[ufalme|falme]] mbalimbali, na [[milki]] za [[Kushi]] na [[Meroe]] zilikuwa kubwa kati ya hizo.