Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 33:
 
Dar es Salaam ilichaguliwa na wakoloni [[Ujerumani|Wajerumani]] kuwa [[mji mkuu]] wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] kwa sababu ya [[bandari asilia]] yenye mdomo pana ya [[mto Kurasini]]. Kuanzia 1891 Dar es Salaam ilichukua nafasi ya [[Bagamoyo]] kama makao makuu ya utawala. Bandari pamoja na ujenzi wa [[reli ya kati]] kwenda [[Kigoma]] tangu 1904 ziliimarisha nafasi ya mji ulioendelea kama mji mkuu baada ya Tanzania bara kuwa koloni ya [[Tanganyika]] chini ya [[Uingereza]].
<gallery> [[mage:Dar Askari.jpg]]Dar es salaam </gallery>
 
== Wakazi na uchumi ==