Binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 16:
| spishi_ndogo = '''''H. s. sapiens'''''
}}
[[File:Homo-Stammbaum, Version Stringer-en.svg|420px|thumb|[[Mchoro]] wa [[uenezi]] wa [[jenasi]] ''Homo'' katika miaka [[milioni]] [[mbili]] ya mwisho. [[Rangi]] ya [[samawati]] Inaonyesha uwepo wa [[spishi]] fulani [[wakati]] na [[mahali]] fulani.<ref>{{cite journal | last=Stringer | first=C. | title=What makes a modern human | journal=Nature | year=2012 | volume=485 | issue=7396 | pages=33–35 | doi=10.1038/485033a | pmid=22552077}}</ref>]]
'''Binadamu''' ni neno linalomaanisha "Mwana wa [[Adamu]]", anayeaminiwa na dini za [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] kuwa ndiye mtu wa kwanza.
 
Line 32 ⟶ 33:
Hata hivyo, miaka hii ya mwisho imegundulika katika baadhi ya wanaume wenye asili ya kabila la [[Wambo]] ([[Camerun]]) aina ya kromosomu Y tofauti sana na ile ya wanaume wengine wote waliowahi kupimwa, kiasi cha kukadiria imetofautiana miaka 350,000 hivi iliyopita.
 
Vilevile, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa [[Sahara]], wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]] na, ile ya [[pango la Denisova]] na nyingine kutoka Afrika (labda ya kati).
 
Kama hao waliweza kweli kuzaliana na [[Homo sapiens]] maana yake walikuwa [[spishi]] moja na yeye. Hapo asili ya binadamu inatakiwa kuhesabiwa ya zamani zaidi sana kuliko miaka 200,000.
Line 90 ⟶ 91:
{{Primates|C}}
{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-mtu}}
[http://binadamu.net]
 
Mstari 99:
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Biblia]]
 
{{Link FA|eu}}
{{Link FA|id}}