Utiifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Maandishi katika [[Ikulu ya V...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Ni tofauti na mtu kufuata [[athari]] ya wenzake au [[mkondo]] wa [[umati]].
 
Ki[[maadili]] utiifu unaweza kutazamwa kwa namna mbalimbali, chanya au hasi, hasa kulingana na [[uadilifu]] au [[uovu]] wa agizo lenyewe, kwa mfano lile la [[Hitler]] kuhusu [[maangamizimauaji ya kimbari]] ya [[Wayahudi]].<ref name=Milgram2>{{cite journal|last=Milgram|first=S.|title=Behavioral study of obedience|journal=Journal of Abnormal and Social Psychology|year=1963|issue=67|pages=371–378}}</ref>
 
==Katika jamii==
[[Utamaduni]] wa nchi nyingi unatazama utiifu kama [[adili]]; hasa [[jamii]] kwa kawaida inadai [[watoto]] waheshimu na kutii [[wazazi]] wao na [[wazee]] wengine, lakini pengine [[watumishi]] na [[watumwa]] walidaiwa kutii ma[[bwana]] wao, na watu wa [[rangi]] fulani kutii wale wa rangi nyingine.
 
Mbali ya hayo, [[wananchi]] wanatarajiwa kutii watawala halali, na wana[[dini]] kumtii [[Mungu]].
 
==Katika dini==
Utiifu ni muhimu katika dini mbalimbali. Hasa [[Uislamu]] unaufanya [[kiini]] cha [[imani]] (neno ''Islam'' linamaanisha "kukubali, kusalimu amri").<ref>
{{cite web
|url= http://www.britannica.com/EBchecked/topic/295507/Islam
Line 21 ⟶ 23:
</ref>
 
Katika [[Ukristo]], ni hasa [[watawa]] wanaowajibika kuishi kwa utiifu katika [[jumuia]] zao ili kutimiza kwa [[umoja]] [[mapenzi ya Mungu]].
 
Mbali ya hao, kielelezo cha Wakristo wote ni [[Yesu Kristo]], aliyesifiwa kwa kumtii [[Mungu Baba]] hata kufa - [[Msalaba wa Yesu|kufa msalabani]] ([[Fil]] 2:1-18).
 
Kwa [[Kigiriki]], [[lugha]] ya [[Agano Jipya]], utiifu ni sawa na [[usikivu]] (wa Neno la Mungu), hivyo [[Mtume Paulo]] alisisitiza utiifu wa imani.
 
==Tanbihi==