Hija : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 48 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1644573 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Western wall jerusalem night.jpg|thumb|300px|Wayahudi wakisali kwenye [[Ukuta wa Maombolezo]], Yerusalemu.]]
'''Hija''' ni [[safari]] inayofanyika kwa sababu ya [[dini]], ikilenga [[patakatifu]] fulani.▼
[[Image:Jerusalem Holy Sepulchre BW 24.JPG|thumb|right|300px|[[Mlango]] mkuu wa [[Kanisa la Kaburi na Ufufuo wa Yesu]], Yerusalemu.]]
[[File:Al-Haram mosque - Flickr - Al Jazeera English.jpg|thumb|300px|Hija ya Waislamu kwenye [[Masjid al-Haram]], Maka, mwaka [[2008]].]]
▲'''Hija''' (kutoka [[Kiarabu]] '''حج''', ''Ḥaǧǧ'') ni [[safari]] inayofanyika kwa sababu ya [[dini]], ikilenga [[patakatifu]] fulani.
Kwa maana ya kiroho, [[maisha]] yote ni [[safari]] ya kumuelekea [[Mungu]] au [[uzima wa milele]] n.k.
[[Desturi]] ya kuhiji iko katika dini mbalimbali.
* [[Uhindu|Wahindu]] huhiji mahali pengi hasa [[mji]] wa [[Benares]] na [[mto Ganges]].▼
* [[Ukristo|Wakristo]] hasa wa madhehebu ya Kiorthodoksi na Katoliki wanajua hija kwenda [[Yerusalemu]], [[Roma]] na mahali pengine.▼
* [[Uyahudi]] tangu zamani unatia maanani hasa hija ya kwenda [[Yerusalemu]], iliyokuwa ya [[lazima]] katika [[sikukuu]] mbalimbali kwa waumini kuanzia umri wa ku[[balehe]]; unaendelea hata baada ya [[hekalu]] la mji huo kubomolewa kabisa mwaka [[70]] [[BK]].
* [[Uislamu|Waislamu]] huwa na [[hajj]] kutembelea [[Makka]], [[Washia]] wanatembela pia makaburi ya maimamu yao huko [[Najaf]], [[Karbala]], [[Mashhad]] na penginepo. Mwislamu aliyetimiza safari hii anapokea cheo cha "[[alhaji]]" kama sehemu ya jina lake.▼
▲* [[Ukristo|Wakristo]] hasa wa [[madhehebu]] ya [[Waorthodoksi|Kiorthodoksi]] na [[Wakatoliki|Katoliki]] wanajua hija kwenda [[Yerusalemu]], [[Roma]] na mahali pengine.
▲* [[Uhindu|Wahindu]] huhiji mahali pengi hasa mji wa [[Benares]] na [[mto Ganges]]
▲* [[Uislamu|Waislamu]] huwa na [[hajj]] kutembelea [[Makka]], [[Washia]] wanatembela pia
Kiasili neno "hija"
Lakini Wakristo wamepokea neno hili pia kwa safari zao za kiroho na siku hizi {{mbegu-dini}}
[[Jamii:Dini]]
|