Wilaya ya Missenyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
==Marejeo==
Mjue Flavius Martin Rwelamira
 
Ndugu Flavius Martin Rwelamira alizaliwa tarehe 21 Novemba 1970 katika Kitongoji cha Kanoni Kijiji cha Bugorora, Kata ya Bugorora (Wakati ule ikiitwa Kitobo), Tarafa ya Kiziba (Wakati huu ni Tarafa ya Missenyi), Wilaya ya Bukoba Vijijini (Sasa Wilaya ya Missenyi), Mkoani Kagera. Kwa sasa ni mkazi wa Kitongoji Kakungiri, Kijiji Rwamashonga, Kata Bwanjai, Tarafa Kiziba, Wilaya Missenyi Mkoani Kagera Tanzania.
{{marejeo}}
 
Alipata elimu ya Msingi katika shule ya Msingi Bugorora mwaka 1981-1987 Wilayani Missenyi. Alijiunga na Shule ya Sekondari Bwabuki mwaka 1988-1991. Mwaka 1992 alijiunga na Chuo cha Kilimo Baraka, kilichopo Molo Wilayani Nakuru nchini Kenya na kufanya mazoezi ya vitendo (Field Practical) katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Egerton-Kenya, akahitimu mwaka 1994 na kupata Astashahada ya Kilimo na Maendeleo Vijijini (Certificate in Agriculture and Rural Development). Mwaka 1997 alijiunga na Chuo cha Mifugo Tengeru Arusha akahitimu mwaka 1999 na kutunukiwa Stashahada ya Afya ya Mifugo (Animal Health Diploma).
 
Alipata Kozi za muda mfupi kama ifuatavyo: 
-Mafunzo ya maafisa mifugo wa kujitegemea (Business skills Training for Private Veterinarians-Arusha 2002), 
-Kilimo Mseto (Agroforestry-Mwanza 2003), 
-Mpango shirikishi wa jamii (Participatory Rural Appraisal-PRA-Mwanza-2003)
-Mafunzo ya ngazi ya Juu ya Kilimo Mseto (Advanced Agroforestry Training-Mwanza 2003), 
-Usawa wa Jinsia na UKIMWI (Gender equality & HIV/AIDS Kisumu-Kenya & Kampala-Uganda 2005),
- Kilimo Biashara & Ujasiliamali (Farming as a Business & Entrepreneurship Development, Maruku-Bukoba 2006), 
-Kuweka na Kukopa (Savings & Loans Associations-Mwanza 2006), 
-Kilimo Hai (Organic Agriculture-Arusha 2007), 
-Matumizi ya Sheria Mpya za Kazi Tanzania (Application of Tanzania New Labor Laws-Mwanza 2008), 
-Kilimo Hifadhi na Shamba Darasa (Conservation Agriculture/Farmer Field School-Bukoba 2008), 
-Uongozi (Leadership for Change-Kampala-Uganda 2007), 
-Uendeshaji wa mafunzo (Training Management-Morogoro 2009), 
-Mbinu za Uwezeshaji na Mawasiliano (Facilitation and Communication skills-Kitale Kenya 2010), 
-Udereva (Driving Skills-Bukoba 2011) 
-Kuweka Mipango ya kuanzisha na kuendeleza miradi (Project Planning and Management-Morogoro 2011) 
-Ushawishi na Utetezi (Lobby & Advocacy- Bukoba 2011).
Mwaka 2006 alihudhuria kongamano la kudhibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI na kongamano la kilimo hai la Afrika Mashariki huko Nairobi-Kenya. Mwaka 2007 alihudhuria kongamano la uzinduzi wa nembo na viwango vya Kilimo Hai vya Afrika Mashariki-Dar-es-Salaam Tanzania (Launch of Eastern African Organic Standards & Organic Mark).
Pia amehudhuria mikutano ya Maafisa Mafunzo na Ujengaji uwezo wa Mradi wa Vi Agroforestry Eastern Africa kama ifuatavyo: (Kisumu-Kenya & Musoma- Tanzania 2009); Bukoba-Tanzania & Masaka-Uganda 2010); Kigali-Rwanda & Kitale-Kenya 2011).
Mwaka 2013 alihudhuria kongamano la Kilimo Hai la Afrika Mashariki awamu ya pili-Dar-es-Salaam Tanzania. 
Mwaka huo huo 2013 alihudhuria warsha ya kuweka mipango ya Ekolojia ya Kilimo Hai chini ya mwavuli wa Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM) huko Morogoro Tanzania.
Ana uzoefu wa kutumia kompyuta (Microsoft office-word/Excel/Power point/Publisher/Outlook & Internet)
 
Uongozi:
 
-Kiranja wa miradi- Shule ya msingi Bugorora 1986-1987.
-Katibu wa Umoja wa Vijana Tanzania (UVT)-Tawi la Shule ya Sekondari Bwabuki 1990.
-Kiranja Mkuu-Shule ya Sekondari Bwabuki 1991.
-Kiongozi wa Usafi-Chuo cha kilimo Baraka-Kenya 1992-1993.
-Kiongozi wa Mazingira-Chuo cha Mifugo Tengeru-Arusha 1998-1999.
-Mratibu wa Usawa wa jinsia na uthibiti wa Virusi vya UKIMWI mahali pa kazi-Shirika la Vi Agroforestry Tanzania 2006-2013.
 
Kazi/Ajira:
 
 
 
-Meneja-Mradi wa Kilimo wa Kyabugombe Farm (Kabingo-Missenyi 1994-1996)
-Mtaalam-Mashauri wa pembejeo za kilimo-Kampuni ya ASECDO Enterprises Ltd (Bukoba 1997)
-Afisa ugani (Extension officer)-Shirika la Vi Agroforestry Eastern Africa (Magu, Mwanza 2003-2004)
-Afisa mafunzo msaidizi (Assistant Training Officer) -Shirika la Vi Agroforestry Eastern Africa (Bukoba 2005-2006)
-Mkuu wa Idara ya mafunzo (Head of Training Department) -Shirika la Vi Agroforestry Eastern Africa (Bukoba 2007-2008)
-Afisa Mafunzo na ujengaji uwezo (Capacity building and Training Officer) Shirika la Vi Agroforestry Eastern Africa (Bukoba 2009-2013)
-Afisa Mwenezi Kanda ya Ziwa-Kwa majimbo ya Kanisa Katoliki ya Bukoba, Kayanga, Rulenge-Ngara, Geita, Jimbo Kuu la Mwanza, Bunda na Musoma chini ya Jumuiya ya Kolping Tanzania (Bukoba 2014)
-Field Officer (Trans boundary Agro-ecological Management Program-Kagera TAMP) under Kolping Society of Tanzania funded by The Food and Agriculture Organization of the United Nations-FAO (Bukoba 2014/15)
-Project Coordinator (Food Security Program) under Kolping Society of Tanzania-Iringa/Ruvuma regions (Iringa 2015){{marejeo}}
{{mbegu-jio-kagera}}