Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
Ukurasa umeelekezwa kwenda Jamii:Jiometria
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Triangle.Right.svg|thumbnail|Jiometria inaweza kukadiria ukubwa kwa pembetatu]]
#REDIRECT[[Jamii:Jiometria|!]]
'''Jiometria''' (pia: '''jiometri''', kutoka [[gir.]] γεωμετρία; geo- "dunia", -metron "kipimo" na [[ing.]] ''geometry'') ni aina ya [[hisabati]] inayochunguza [[ukubwa]], [[mjao]], [[umbo]] na mahali pa eneo au gimba.
 
Maumbo huwa na wanja (dimensioni) mbili yakiwa bapa au wanja tatu kama ni gimba.
Kwa mfano mraba, pembetatu na duara ni bapa na kuwa na wanja 2 za upana na urefu. Tufe (kama mpira) au mchemraba huwa na wanja 3 za upana, urefu na kimo (urefu kwenda juu).
 
== Matumizi ==
Jiometria hutumiwa kupima eneo na [[mzingo]] wa umbo bapa. Inaweza kupima pia [[mjao]] na eneo la uso wa gimba.
 
Katika maisha ya kila siku jiometria inasaidia kukadiria vipimo vya vitu vingi kama vile
* eneo wa uso wa chumba na hivyo kuamua kiasi cha rangi inayohitajika kwa kupaka rangi kuta zote.
* [[Mjao]] wa [[chombo]] ili kujua kuna lita ngapi za maji ndani yake.
* Eneo la [[shamba]] linalotakiwa kugawiwa kati ya watu
* Urefu wa [[mzingo]] wa [[bwawa]] ili kujua tunahitaji kununua mita ngapi za fensi tukitaka kuifunga.
 
== Historia ==
Chanzo cha jiometria kilikuwa elimu ya kupima ukubwa wa eneo fulani kwa mfano eneo la mashamba ya kijiji kwa kusudi la kuigawa kati ya watu wake. Mtaalamu wa Ugiriki ya Kale aliyeitwa [[Euklides]] alitunga kitabu cha kwanza knachofahamika kuhusu jiometria
 
 
{{commonscat|geometry}}
 
#REDIRECT[[Jamii:Jiometria|!*]]