Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
Katika maisha ya kila siku jiometria inasaidia kukadiria vipimo vya vitu vingi kama vile
* eneo wa uso wa chumba na hivyo kuamua kiasi cha [[rangi]] inayohitajika kwa kupaka rangi kuta zote.
* [[Mjao]] wa [[chombo]] ili kujua kuna [[lita]] ngapi za [[maji]] ndani yake.
* Eneo la [[shamba]] linalotakiwa kugawiwa kati ya watu
* Urefu wa [[mzingo]] wa [[bwawa]] ili kujua tunahitaji kununua mita ngapi za [[fensi]] tukitaka kuifunga.
 
== Historia ==