Duara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 119 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q17278 (translate me)
No edit summary
Mstari 3:
'''Duara''' ni umbo la mviringo bapa yaani katika tambarare linalofanana na herufi "o".
 
Katika [[jiometria]] duara huelezwa kuwa [[mchirizo]] uliofungwa na umbali wa kila [[nukta]] ya mchirizo ni sawa kutoka kitovu cha duara.
 
Mstari wa nje wa duara huitwa mzingo. Katikati yake ni kitovu. Mstari usioonyoka kutoka kitovu hadi mzingo huitwa rediasi au [[nusukipenyo]]. Mstari wowote kutoka upande mmoja wa mzingo hadi upande mwingine unaopita kwenye kitovu huitwa [[kipenyo]].