Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
No edit summary
Mstari 2:
'''Jiometria''' (pia: '''jiometri''', kutoka [[gir.]] γεωμετρία; geo- "dunia", -metron "kipimo" na [[ing.]] ''geometry'') ni aina ya [[hisabati]] inayochunguza [[ukubwa]], [[mjao]], [[umbo]] na mahali pa eneo au gimba.
 
Maumbo huwa na [[wanda]] (dimensioni) mbili yakiwa bapa au wanda tatu kama ni gimba.
Kwa mfano mraba, pembetatu na duara ni bapa na kuwa na wanda 2 za upana na urefu. Tufe (kama mpira) au mchemraba huwa na wanda 3 za upana, urefu na kimo (urefu kwenda juu).