Pai (herufi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Pi''' ni herufi ya kumi na sita [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa kama '''Π''' (herufi kubwa cha mwanzo) au '''π''' (herufi ndogo ya kawaida). Pi ni asili ya herufi ya [[P]] katika [[alfabeti ya Kilatini]].
 
Katika [[Ugiriki ya Kale]] ilihesabiwa pia kama [[tarakimu]] kwa namba "80".
 
Katika elimu ya [[hisabati]] herufi Pi inatumiwa kutaja [[namba pi]] ambayo ni namba ya duara.