Mchemraba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa '''Mchemraba''' ni gimba lenye pande sita mraba. *Una pembe 8 ambazo zote ni...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:58, 10 Aprili 2015

Mchemraba ni gimba lenye pande sita mraba.

  • Una pembe 8 ambazo zote ni pembemraba na urefu, upana na kimo vyote ni sawa.
  • Una kona 12 sawa na nne-nne kati ya hizi ziko sambamba
Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa

Mjao

  • Mjao wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pand zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
  • Mfano: urefu wa upande wa mchemraba ni sentimita 2 unapiga hesabu ya 23 = 2x2x2 = 8 cm3 (=sentimita mjazo).