Tofauti kati ya marekesbisho "Mchemraba"

48 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
 
[[File:Cube.svg|thumb|150px|Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa]]
[[Picha:120px-Hexahedron-slowturn.gif|150px|thumbnail|Mchemraba ukizunguka]]
'''Mchemraba''' ni [[gimba]] lenye pande sita [[mraba]]. Ni haliaina ya pekee ya [[mchestatili]].
 
*Una [[pembe]] 8 ambazo zote ni [[pembemraba]] na [[urefu]], [[upana]] na [[kimo]] vyote ni sawa.
*Una [[kona]] 12 sawa na nne-nne kati ya hizi ziko [[sambamba]]
 
== Mjao ==
* [[Mjao]] wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pandpande zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
*Mfano: urefu wa [[upande]] wa mchemraba ni [[sentimita]] 2 unapiga hesabu ya 2<sup>3</sup> = 2x2x2 = 8 cm<sup>3</sup> (=sentimita mjazo).
 
[[Picha:Hexahedron flat color.svg|thumbnail|120px|Mchemraba ukifunguliwa]]
*[http://www.mathopenref.com/cubevolume.html Volume of a cube], with interactive animation
*[http://www.software3d.com/Cube.php Cube] (Robert Webb's site)
 
{{mbegu}}
 
[[Category:Jiometria]]