Mjao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary

Mstari 1:
'''Mjao''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''volume'') inaelezaunaeleza [[ukubwa]] wa [[gimba]] la [[hisabati]] ([[mchemraba]], [[tufe]], [[mcheduara]]) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake. Hupimwa katika vizio vya ujazo kama [[mita ujazo]] (m³) au [[sentimita ujazo]] (cm³). Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.

Hupimwa katika [[vizio vya ujazo]] kama [[mita ujazo]] (m³) au [[sentimita ujazo]] (cm³).
Alama yake ni '''V'''.

Kila gimba lenye [[urefu]], [[upana]] na [[kimo]] huwa na mjao.
Hali halisi nje ya hisabati kuna njia mbili za kuangalia mjao wa gimba:
*ujazo wa nje kwa jumla (kwa mfano kama kitu kinazamwa katika kiowevu kinasukuma kiasi gani cha kiowevu hiki?)
*ujazo wa ndani (kwa mfano yaliyomo ya boksi au tangi)

Alama yake ni '''V'''.

Hali halisi ni kwamba nje ya hisabati kuna njia mbili za kuangalia mjao wa gimba:
*ujazo wa nje kwa jumla (kwa mfano kama kitu kinazamwa katika [[kiowevu]] kinasukuma kiasi gani cha kiowevu hiki?)
*ujazo wa ndani (kwa mfano yaliyomo ya [[boksi]] au [[tangi]])
==Mifano ya kukadiria mjao wa magimba kadhaa==
Kadirio ya mjao ni Urefu x Upana x Kimo.

[[mchemraba]] mwenye urefu wa ukingo "a":
<math>V = a\cdot a\cdot a = a^3</math>

[[mchemstatili]] mwenye urefu wa kingo "a", "b" na "c":
<math>V = a\cdot b\cdot c</math>

[[tufe]] lenye [[rediasi]] "r"::
<math>V = {{4}\over{3}} \pi \cdot r^3</math>

[[mcheduara]] au [[mche]] mwenye eneo la kitako "A" na kimo "h":
<math>V = A\cdot h </math>

{{mbegu-sayansi}}

[[Category:Fizikia]]