Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Triangle.Right.svg|thumbnail|Jiometria inaweza kukadiria ukubwa kwa pembetatu]]
'''Jiometri''' (pia: '''jiometriaJiometria''', kutoka [[gir.Kigiriki]] γεωμετρία ''geometria''; geo- "[[dunia]]", -metron "[[kipimo]]" nakwa kupitia [[ing.Kiingereza]] ''geometry'') ni aina ya [[hisabati]] inayochunguza [[ukubwa]], [[mjao]], [[umbo]] na mahali pa [[eneo]] au [[gimba]].
 
MaumboMa[[umbo]] huwa na [[wanda]] (dimensioni) mbili yakiwa bapa, au wanda tatu kama ni gimba.
Kwa mfano [[mraba]], [[pembetatu]] na [[duara]] ni bapa na kuwa na wanda 2 za [[upana]] na [[urefu]]. Kumbe [[Tufetufe]] (kama [[mpira]]) au [[mchemraba]] huwa na wanda 3 za upana, urefu na [[kimo]] (urefu kwenda juu).
 
== Matumizi ==
Jiometri hutumiwa kupima eneo na [[mzingo]] wa [[umbo bapa]]. Inaweza kupima pia [[mjao]] na eneo la uso wa gimba.
 
Katika maisha ya kila siku jiometri inasaidia kukadiria vipimo vya vitu vingi kama vile:
* eneo wa uso wa [[chumba]] na hivyo kuamua kiasi cha [[rangi]] inayohitajika kwa kupaka rangi kuta zote.
* [[Mjao]] wa [[chombo]] ili kujua kuna [[lita]] ngapi za [[maji]] ndani yake.
* Eneo la [[shamba]] linalotakiwa kugawiwa kati ya watu
* Urefu wa [[mzingo]] wa [[bwawa]] ili kujua tunahitaji kununua [[mita]] ngapi za [[fensi]] tukitaka kuifunga.
 
== Historia ==
[[Chanzo]] cha jiometri kilikuwa [[elimu]] ya kupima ukubwa wa eneo fulani kwa mfano eneo la mashamba ya [[kijiji]] kwa kusudi la kuigawa kati ya watu wake. Mtaalamu wa [[Ugiriki ya Kale]] aliyeitwa [[Euklides]] alitunga kitabu cha kwanza kinachofahamika kuhusu jiometri.
 
[[Mtaalamu]] wa [[Ugiriki ya Kale]] aliyeitwa [[Euklides]] alitunga [[kitabu]] cha kwanza kinachofahamika kuhusu jiometri.
 
===Viungo vya nje==
{{commonscat|geometry}}
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Jiometria|*]]