Tofauti kati ya marekesbisho "Kisotho-Kaskazini"

193 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
d
+viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
d (ki- --> i- using AWB)
d (+viungo vya OLAC na Glottolog using AWB)
'''Kisotho-Kaskazini''' (pia '''Kisepedi''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Wasepedi]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini [[Botswana]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisotho-Kaskazini iko katika kundi la S30.
 
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/nso lugha ya Kisotho-Kaskazini kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/nso.html ramani ya Kisotho-Kaskazini]
*[http://www.ethnologuelanguage-archives.org/language/nso makala za OLAC kuhusu Kisotho-Kaskazini]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/pedi1238 lugha ya Kisotho-Kaskazini katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/nso
 
{{mbegu-lugha}}
62,394

edits