Atomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Atom.png|thumb|Mfumo wa atomi kwa mfano wa atomi ya [[Heli]]: [[Elektroni]] mbili (njano) kwenye mzingo wa atomi huzunguka [[kiini cha atomi]] chenye [[Protoni]] mbili (nyekundu) na [[Neutroni]] mbili (kijani).]]
 
'''Atomi''' (pia: '''atomu'''; kutoka [[kigiriki]] '''ἄτομος''' ''átomos'' "yasiyogawiwa") ni sehemu ndogo ya [[maada]] yenye tabia ya kikemia kama [[elementi]]. Kila kitu duniani hujengwa kwa atomi. Atomi ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani kwa macho hata hazionekani kwa [[hadubini]] za kawaida. Kuna aina nyingi za atomi na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na elementi zilizopo duniani.