Tofauti kati ya marekesbisho "Unururifu"

8 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Unururifu''' (ing. ''radioactivity''; pia: '''mbunguo nururifu''') ni tabia ya elementi kadhaa ambako kiini cha atomi si dhabiti bali inaweza kub...')
 
No edit summary
'''Unururifu''' ([[ing.]] ''radioactivity''; pia: '''mbunguo nururifu''') ni tabia ya [[elementi]] kadhaa ambako [[kiini cha atomi]] si dhabiti bali inaweza kubadilika kuwa kiini cha atomi kingine na katika mchakato huu kinatoa [[mnururisho]]. Wakati wa badiliko atomi inatoa vyembe nyuklia.
Tabia hii ilitambuliwa mara ya kwanza na [[Antoine Henri Becquerel]] mwaka 1896, halafu ni [[Marie Curie]] na [[Pierre Curie]] waliotunga neno "radioactivity" (=unururifi) kwa tabia hii. Wote watatu walipokea [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] kwa kazi hii mwaka 1903.